Saturday, February 20, 2016

Nay "Sikusema kuwa Wema hana ujauzito" ajitetea baada ya mshabiki kumshambulia

Nay wa Mitego amesema mashabiki wamemcharukia kuwa ana mdomo mbaya baada ya taarifa kuwa huenda mimba ya Wema Sepetu imetoka kulingana na post ya mpenzi wake Idriss sultan.


Nay amesema kwenye ngoma yake "shika adabu yako" hakusema moja kwa moja kuwa Wema hajabeba ujauzito ila aliuliza swali kuwa Wema ana mimba kweli au ni Kick za msimu?

Kufuatia Post ya Idriss, Nay anasema wapo waliosema ana mdomo mbaya alaaniwe na wapo waliomuunga mkono kuwa kweli Wema hakuwa na mimba.

0 comments:

Post a Comment

back to top